Service Charter
CHUO KIKUU CHA KENYATTA IDARA YA MAKTABA MPANGILIO WA UTOAJI HUDUMA
S/NO | HUDUMA INAYOTOLEWA | MAHITAJI | MALIPO | MUDA WA KUHUDUMIWA |
1. | Kusajili wanafunzi |
|
Bure | Dakika 5 |
2. | Kusajili Wafanyikazi | Kitabulisho cha chuo cha mfanyikazi | Bure | Dakika 5 |
3. | Mwelekeo | Kwa ombi/Ratiba | Bure | Saa 1 |
4. | Ikibali |
|
Bure | Dakika 5 |
5. | Kuazima | Kitabulisho cha chuo | Bure | Dakika 2 |
6. | Marejeleo na kuulizia huduma | Kutoa ombi | Bure | Dakika 2 |
7. | Msaada wa ICT kwenye maktaba | Kitambulisho cha chuo | Bure | Dakika 10 |
8. | Maelezo ya mafunzo ya makala ya digitali, marejeleo na nukuu | Kwa ombi/mpangilio | Bure | Saa 2 |
9. | Kubana | Kubana kwa manila au mtindo wa mipito ya zogomo | Ksh. 60-120 | Siku moja |
Kubana tasnifu za uzamili na uzaminifu kwa jalada ngumu | Ksh 250, Ksh 300 | Siku tano | ||
10. | Kutenga/matumizi ya maabara ya tarakilishi | Kitambulisho cha chuo | Bure | Dakika 2 |
11. | Kutenga/matumizi ya kareli | Kitambulisho cha chuo (Wafanyikazi na wadaraji) | Ksh 100 | Dakika 2 |
12 | Huduma kwa wenye mahitaji maalum pamoja na kutengewa vipokeo vya sauti masikioni, tarakilishi na kifaa cha kusoma kiwambo na mashine ya breli.
Kurekodi sauti |
Kitambulisho cha chuo | Bure | Dakika 2 |
|
Bure | Siku 1-3 |
TUNAWAJIBIKA KUTOA HUDUMA BORA WENYE UFANISI WA HALI YA JUU.
Huduma yeyote itakayotolewa bila kuafiki viwango hitajiki ama afisa ambaye hatimizi wajibu na ufanisi wa utoaji wa huduma bora anapaswa kuripotiwa kwa:
The Vice-ChancellorKenyatta UniversityS.L.P 43844-00100 Nairobi Simu. +254 20 8703858 Rununu +254 710890005 Barua Pepe : director-complaints@ku.ac.ke |
The Commission Secretary/CEOCommission on Administrative Justice,West End Towers, Waiyaki Way, S.L.P. 20414 – 00200 Nairobi Simu. +254 20, 2270000, 2303000 Barua Pepe. complain@ombudsman@go.ke |
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO
KENYATTA UNIVERSITY LIBRARY DEPARTMENT SERVICE DELIVERY CHARTER
S/NO | SERVICES RENDERED | REQUIREMENTS | CHARGES | TIMELINE |
1. | Student Registration |
|
Free | 3 Minutes |
2. | Staff Registration | University Staff ID
corporate Email |
Free | 5 Minutes |
3. | Orientation /Induction | Request / Schedule
Virtual link |
Free | 1 Hour |
4 | Clearance |
|
Free | 5 Minutes |
5 | Lending | University ID Patron Account Book(s) |
Free | 2 Minutes |
6 | Reference & enquiry services | Request | Free | 2 Minutes |
7 | Library ICT user support | University ID | Free | 10 Minutes |
8. | Information Literacy Training including E-resources, Turnitin, Referencing and citation | Request or Schedule virtual link |
Free | 2 Hours |
9. | Binding | Request for Manilla or Spiral binding | Ksh. 60-120 | 1 Day |
Hard cover binding incl. Masters and PhD theses | Ksh 250, Ksh 300 | 5 Days | ||
10 | Allocate/Use of Computer Labs | University ID Booking Register |
Free | 2 Minutes |
11 | Allocate/Use of Study Carrels | University ID (Staff & PG Students) Carrels Application Form |
Ksh 100 | 2 Minutes |
12 | Service to Users with special needs including allocate headphones, computer with screen reader and braille machine.
Audio recording |
University ID Register |
Free | 2 Minutes |
|
Free | 1-3 days |
WE ARE COMMITED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY
Any service rendered that does not conform to the above service standards or any officer who does not live up to the commitment of courtesy and excellence in service delivery should be reported to:
The Vice-ChancellorKenyatta University P.O Box 43844-00100 Nairobi Tel. +254 20 8703858 Mobile +254 710890005 Email : director-complaints@ku.ac.ke |
The Commission Secretary/CEOCommission on Administrative Justice,West End Towers, Waiyaki Way, P.O. Box 20414 – 00200 Nairobi Tel. +254 20, 2270000, 2303000 Email. complain@ombudsman@go.ke |